Maelezo ya Chini
a Tayari ilikuwa jioni. Simulizi halitaji kwamba Rebeka alibaki kisimani kwa saa nyingi. Halionyeshi kwamba familia yake ilikuwa imelala usingizi alipomaliza kuchota maji au kama kuna mtu yeyote aliyemtafuta kwa sababu alichelewa kurudi.