Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Eliezeri hatajwi katika simulizi hilo, lakini huenda ndiye mtumishi aliyehusika katika kisa hicho. Wakati mmoja, Abrahamu alikusudia kumrithisha Eliezeri mali zake zote ikiwa hangepata mtoto, hivyo Eliezeri alikuwa mtumishi mwenye umri mkubwa na aliyeaminiwa zaidi na Abrahamu. Mtumishi anayetajwa katika kisa hiki anaelezwa kwa njia hiyo pia.—Mwanzo 15:2; 24:2-4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki