Maelezo ya Chini
a Tasito, aliyezaliwa mwaka wa 55 W.K., aliandika kuwa, “Kristo, ambaye ndiye chanzo cha jina [Wakristo], alihukumiwa kifo na gavana wetu Pontio Pilato wakati wa utawala wa Tiberio.” Yesu anatajwa pia na Suetonius (karne ya kwanza); mwanahistoria wa Kiyahudi Yosefo (karne ya kwanza); na Plini Mdogo, gavana wa Bithinia (mwanzoni mwa karne ya pili).