Maelezo ya Chini
a Bila shaka, tayari baadhi ya wasomi walikuwa wametafsiri Agano Jipya katika Kiebrania. Mmoja wao alikuwa Simon Atoumanos, katika miaka ya 1360. Mwingine alikuwa Oswald Schreckenfuchs, msomi Mjerumani, katika miaka ya 1565. Tafsiri hizo hazikuwahi kuchapishwa na hatimaye zilitoweka.