Maelezo ya Chini
b Sasa Shule ya Waeneza-Injili wa Ufalme imechukua mahali pa shule hiyo. Watumishi wa wakati wote wanaotumikia katika nchi ya kigeni na ambao wanatimiza matakwa wanaweza kujiandikisha wahudhurie shule hii nchini mwao au katika nchi nyingine ambapo shule hiyo inafanywa katika lugha yao ya mama.