Maelezo ya Chini
a Eneo hili la Meriba lilikuwa tofauti na eneo la Meriba lililokuwa karibu na Refidimu. Tofauti na eneo la kwanza, eneo hili la pili lilihusianishwa na eneo la Kadeshi, si Masa. Hata hivyo, maeneo yote mawili yalipewa jina Meriba kwa sababu ya ugomvi uliotokea huko.—Tazama ramani iliyo kwenye Nyongeza ya B3 kwenye Biblia Takatifu—Tafsiri ya Ulimwengu Mpya.