Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Wachimbuaji wa vitu vya kale walikuta nafaka nyingi katika magofu ya jiji la Yeriko, jambo linaloonyesha kwamba jiji hilo halikuzingirwa kwa muda mrefu kwa kuwa hifadhi ya chakula haikuwa imekwisha. Kwa kuwa Waisraeli hawakuruhusiwa kujichukulia nyara, ni wazi kwamba kipindi walichovamia jiji la Yeriko kilikuwa kipindi mwafaka kabisa kwa sababu ulikuwa wakati wa mavuno na chakula kilikuwa tele mashambani.—Yos. 5:10-12.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki