Maelezo ya Chini
a Aina hiyo ya dansi “ni dansi ambapo mtumbuizaji ambaye kwa kawaida huwa nusu uchi hukata kiuno na kujizungusha-zungusha akiwa ameketi juu ya mapaja ya mteja.” Ikitegemea na mambo halisi ambayo yalitokea katika kisa kinachohusika, jambo hilo linaweza kusemwa kuwa ni uasherati na hatua ya kihukumu inaweza kuchukuliwa. Mkristo ambaye amehusika katika dansi kama hiyo anapaswa kuomba msaada kutoka kwa wazee.—Yak. 5:14, 15.