Maelezo ya Chini
d MAELEZO YA PICHA: Baadhi ya ndugu na dada walioonyeshwa awali walipokuwa wakishiriki katika Funzo la Mnara wa Mlinzi. Ingawa hali za kila mmoja wao zinatofautiana, wote hutenga wakati wa kujitayarisha kwa ajili ya Funzo la Mnara wa Mlinzi.