Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b UFAFANUZI WA MANENO: Yehova alitupatia uwezo wa kuchunguza mawazo, hisia, na matendo yetu na uwezo huo hutusaidia kujihukumu ikiwa tumefanya lililo sahihi au lisilo sahihi. Biblia inauita uwezo huo dhamiri. (Rom. 2:15; 9:1) Dhamiri iliyozoezwa na Biblia ni ile inayoongozwa na viwango vya Yehova vinavyopatikana katika Biblia ili kuamua ikiwa mawazo, matendo, au maneno yetu ni mazuri au mabaya.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki