Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b UFAFANUZI WA MANENO: Maneno kuwasiliana na roho yanarejelea imani na mazoea yanayohusianishwa na roho waovu. Pia, yanarejelea imani ya kwamba roho za watu waliokufa huendelea kuishi baada ya mwili kufa na kwamba zinaweza kuwasiliana na watu walio hai, hasa kupitia mtu fulani (anayewasiliana na roho). Vilevile, kuwasiliana na roho kunatia ndani mazoea kama vile uchawi na kufanya uaguzi. Neno uchawi au mazingaombwe kama linavyotumika katika makala hii linarejelea mazoea yanayohusianishwa na nguvu za roho waovu, au nguvu zinazopita uwezo wa kibinadamu. Linaweza kutia ndani laana, kuwafunga wengine kwa uchawi au kuwafungua kutokana na uchawi. Halirejelei michezo ya kiini macho au kidanganya-macho ambayo baadhi ya watu hufanya ili kuwatumbuiza wengine.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki