Maelezo ya Chini
d Mtoto hapaswi kulazimika kamwe kuwepo wazee wanapozungumza na mtuhumiwa aliyemtendea vibaya kingono. Mzazi au mtu mwingine mzima ambaye mtoto anamwamini anaweza kuwaeleza wazee kuhusu kilichotukia ili kuepuka kumsababishia mtoto maumivu zaidi ya kihisia.