Maelezo ya Chini
b UFAFANUZI WA MANENO: Wanafunzi wa Kristo hufanya mengi zaidi ya kujifunza mambo ambayo Yesu alifundisha. Wao hutumia maishani mambo wanayojifunza. Nao hujitahidi kufuata kwa ukaribu kadiri wawezavyo hatua za Yesu, au kielelezo chake.—1 Pet. 2:21.