Maelezo ya Chini
f MAELEZO YA PICHA: Mvulana alitumia saa nyingi kucheza michezo ya kompyuta na hakumaliza kazi za nyumbani au za shule. Mama yake ametoka kazini na amechoka lakini anamtia nidhamu bila kukasirika au kuzungumza kwa ukali.