Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

f Pia, tunahitaji kuepuka mashirika au vikundi vya kidini kama vile kambi za vijana au sehemu za michezo na mazoezi zinazohusianishwa na dini ya uwongo. Kwa mfano, kwa habari zaidi kuhusu kuwa mshiriki wa YMCA (Young Men’s Christian Association), tazama “Maswali Kutoka kwa Wasomaji” kwenye gazeti Mnara wa Mlinzi la Januari 1, 1979, la Kiingereza. Tunapaswa kuchukua msimamo huohuo inapohusu kuwa mshiriki wa YWCA (Young Women’s Christian Association). Hata ingawa huenda vikundi au mashirika hayo yanaweza kudai kwamba utendaji wao hauhusishi mambo ya kidini, ukweli wa mambo ni kwamba chimbuko lao na malengo wanayoendeleza ni ya kidini.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki