Maelezo ya Chini
d MAELEZO YA PICHA: Katika Siku ya Kufunika Dhambi, kuhani mkuu wa Israeli aliingia katika Patakatifu Zaidi akiwa na uvumba na makaa ya moto ili kujaza chumba harufu tamu. Baadaye, aliingia tena katika Patakatifu Zaidi akiwa na damu ya dhabihu za dhambi.