Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b UFAFANUZI WA MANENO: Kutiwa mafuta kwa roho takatifu: Yehova anatumia roho yake takatifu kumchagua mtu ili akatawale pamoja na Yesu mbinguni. Kwa kutumia roho yake, Mungu anampa mtu huyo ahadi ya wakati ujao, au “rehani ya mapema.” (Efe. 1:13, 14) Wakristo wanaotiwa mafuta wanaweza kusema kwamba roho takatifu “hutoa ushahidi,” au huwajulisha waziwazi kwamba thawabu yao ni ya mbinguni.—Rom. 8:16.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki