Maelezo ya Chini
b MAELEZO YA PICHA: Katika picha hizi nne tunamwona baba akiwa na mtoto wake: baba akimsikiliza kwa makini mwanaye, baba akishughulikia mahitaji ya binti yake, baba akimzoeza mwanaye, na baba akimfariji mwana wake. Mkono ulio nyuma ya picha hizo nne unatukumbusha kwamba Yehova hutujali katika njia hizo pia.