Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

c MAELEZO YA PICHA: Picha hizi tatu zinaonyesha mambo ambayo hufanyika kabla, wakati, na baada ya mikutano ya kutaniko. Picha ya 1: Mzee wa kutaniko anamsalimu kwa uchangamfu mgeni, ndugu kijana anashughulikia mfumo wa sauti, na dada fulani anazungumza na dada mwenye umri mkubwa. Picha ya 2: Vijana kwa wazee wanajitahidi kutoa maelezo kwenye Funzo la Mnara wa Mlinzi. Picha ya 3: Wenzi wa ndoa wanasaidia kusafisha Jumba la Ufalme. Mama anamsaidia mtoto wake kuweka mchango kwenye kisanduku cha michango. Ndugu kijana anashughulikia machapisho, na ndugu fulani anamtia moyo dada mwenye umri mkubwa.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki