Maelezo ya Chini
b Maneno hayo yanapatikana katika Biblia Takatifu kwenye Wagalatia 6:7. Wazo hilo pia huonyeshwa katika misemo maarufu ya watu wa Mashariki kama vile, Ukipanda matikiti maji, utavuna matikiti maji; ukipanda maharagwe utavuna maharagwe.