Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Machi 27, 2021, ni siku ya pekee kwa Mashahidi wa Yehova. Jioni ya siku hiyo tutaadhimisha Ukumbusho wa kifo cha Kristo. Watu wengi watakaohudhuria watakuwa sehemu ya kikundi ambacho Yesu alikiita “kondoo wengine.” Ni kweli gani yenye kusisimua ambayo ilifunuliwa kuhusu kikundi hicho mwaka wa 1935? Kondoo wengine wana tarajio gani lenye kusisimua litakalotimia baada ya dhiki kuu? Na wakiwa watazamaji kwenye Ukumbusho, kondoo wengine wanaweza kumsifu Mungu na Kristo jinsi gani?

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki