Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b MAELEZO YA PICHA: Ndugu amekamatwa akiwa nyumbani kwake. Mke na binti yake wanatazama maofisa wa polisi wanapomchukua. Mume wake akiwa gerezani, waabudu wenzake wanajiunga na dada huyo na binti yake kwa ajili ya ibada ya familia. Mara kwa mara, mama na binti yake wanamwomba Yehova awape nguvu za kuvumilia jaribu lao. Yehova anawapa amani ya moyoni na ujasiri. Matokeo ni kwamba imani yao inaimarika zaidi na kuwawezesha kuvumilia kwa shangwe.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki