Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Ingawa Yesu alikuwa Mwalimu mkuu zaidi aliyeishi duniani, watu wengi katika siku zake walikwazika kwa sababu yake. Kwa nini? Katika makala hii, tutachunguza sababu nne. Pia, tutaona kwa nini watu wengi leo wanakwazwa na mambo ambayo wafuasi wa kweli wa Yesu wanasema na kutenda. Jambo la muhimu zaidi, tutajifunza jinsi tunavyoweza kuepuka kukwazika ili tuendelee kumfuata Yesu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki