Maelezo ya Chini
c MAELEZO YA PICHA Ukurasa wa 16-17 (kutoka juu kwenda chini): Mume na mke wakihubiri katika eneo ambalo si rahisi kuwapata watu nyumbani. Mwenye nyumba wa kwanza yuko kazini, wa pili yuko hospitalini, na wa tatu anafanya ununuzi. Wanakutana na mwenye nyumba wa kwanza kwa kumtembelea baadaye siku hiyo. Wanakutana na wa pili wanaposhiriki katika mahubiri ya hadharani karibu na hospitali. Na mwenye nyumba wa tatu wanampata kwa kumpigia simu.