Maelezo ya Chini
a Mimea ya mafunjo inasitawi kwenye ardhi yenye majimaji na kwenye maji yasiyotembea kwa kasi. Mmea huo unaweza kuwa na urefu wa meta 5 (futi 16), na shina linaweza kuwa na upana wa sentimeta 15 (inchi 6) mahali linapoanzia.