Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Shetani ni kama mwindaji stadi. Anajaribu kututega haidhuru tumemtumikia Yehova kwa muda gani. Katika makala hii, tutajifunza jinsi Shetani anavyotumia kiburi na pupa ili kuharibu uhusiano wetu pamoja na Mungu. Pia, tutajifunza kutoka kwa watu ambao walinaswa na mtego wa kiburi na pupa, na tutaona jinsi tunavyoweza kuepuka mitego hiyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki