Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Je, umewahi kumsikia mtumishi wa Yehova wa miaka mingi akisema, ‘Sikuwahi kutarajia kwamba katika umri wangu bado ningekuwa ninaishi katika mfumo huu wa mambo’? Sote tunatamani kuona Yehova akikomesha mfumo huu wa mambo, hasa katika nyakati hizi ngumu. Hata hivyo, ni lazima tujifunze kuwa na subira. Katika makala hii, tutachunguza kanuni za Biblia zitakazotusaidia kuwa na mtazamo wa kungojea. Pia, tutachunguza maeneo mawili ambayo ni lazima tumngojee Yehova kwa subira. Mwishowe tutachunguza baraka watakazopata wale walio tayari kumngojea Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki