Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b MAELEZO YA PICHA: Tangu utotoni, dada huyu amekuwa akisali kwa ukawaida kwa Yehova. Alipokuwa mtoto, wazazi wake walimfundisha jinsi ya kusali. Alipokuwa kijana, alianza kutumikia akiwa painia na mara kwa mara alimwomba Yehova ambariki katika huduma. Miaka mingi baadaye, mume wake alipokuwa mgonjwa sana, alitoa dua kwa Yehova ili ampe nguvu alizohitaji kuvumilia jaribu hilo. Leo, akiwa mjane anadumu katika sala akiwa na uhakika kwamba Baba yake wa mbinguni atajibu sala zake—kama tu alivyofanya katika maisha yake yote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki