Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yehova ndiye Chanzo cha wema. Anawaandalia mambo mazuri watu wote—hata watu waovu. Lakini anapenda hasa kuwatendea mema waabudu wake waaminifu. Katika makala hii, tutazungumzia jinsi Yehova anavyowaonyesha wema watumishi wake. Pia, tutachunguza jinsi ambavyo wale wanaopanua huduma yao wanaweza kujionea wema wa Yehova kwa njia ya pekee.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki