Maelezo ya Chini
c Huu ni uelewaji uliorekebishwa. Nyakati zilizopita tulisema kwamba kuvutwa kwa watu wenye mioyo minyoofu kwa Yehova hakukusababishwa na kutikiswa kwa mataifa yote. Tazama “Maswali Kutoka kwa Wasomaji” katika gazeti la Mnara wa Mlinzi la Mei 15, 2006.