Maelezo ya Chini
d MAELEZO YA PICHA: Kwa sababu ya kuhangaishwa na dhamiri yenye hatia, Mfalme Daudi alitoa hukumu iliyopita kiasi aliposikia mfano wa Nathani na kwa hasira alisema kwamba yule mwanamume tajiri alistahili kufa.