Maelezo ya Chini a Gazeti The Golden Age lilibadilishwa jina na kuwa Consolation mwaka wa 1937, na baadaye Amkeni! mwaka wa 1946.