Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Tunampenda sana Yehova, na tunataka kumfurahisha. Yehova ni mtakatifu na anatarajia waabudu wake wawe watakatifu. Je, kweli hilo linawezekana kwa wanadamu wasio wakamilifu? Ndiyo, linawezekana. Kuchunguza kwa makini shauri la mtume Petro kwa Wakristo wenzake, na maagizo ya Yehova kwa Waisraeli wa kale, kutatusaidia kujifunza jinsi tunavyoweza kuwa watakatifu katika mwenendo wetu wote.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki