Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Katika ulimwengu huu mwovu, si rahisi kupata watu waadilifu. Ingawa hivyo, leo mamilioni ya watu wanaishi maisha ya uadilifu. Bila shaka, wewe ni mmoja wao. Unaishi maisha hayo kwa sababu unampenda Yehova, na Yehova anapenda uadilifu. Tunawezaje kuipenda hata zaidi sifa hii maridadi? Katika makala hii, tutachunguza maana ya uadilifu na jinsi tunavyonufaika kwa kuipenda sifa hiyo. Pia, tutazungumzia hatua tunazoweza kuchukua ili kuipenda zaidi sifa hii.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki