Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

b Huenda ufufuo utaanza na wale waliokufa wakiwa waaminifu katika siku za mwisho, kisha wale waliokufa kabla yao, kurudi nyuma kizazi baada ya kizazi. Ikiwa ndivyo, kila kizazi kitapata fursa ya kuwakaribisha wale waliowafahamu kibinafsi. Vyovyote vile, Maandiko yanazungumza kuhusu ‘mpangalio unaofaa’ kuhusiana na wale watakaopata ufufuo wa mbinguni, na tunaweza kusema kwamba ufufuo wa duniani pia utafanywa kwa utaratibu mzuri.​—1 Kor. 14:33; 15:23.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki