Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Mtume Paulo aliwahimiza waabudu wenzake wasiruhusu mfumo huu wa mambo uwafinyange. Kwa hakika, huo ni ushauri mzuri sana kwetu leo. Tunapaswa kuhakikisha kwamba uvutano mbaya wa ulimwengu huu hautuathiri kwa njia yoyote ile. Ili kufanya hivyo, ni lazima tuendelee kurekebisha njia yetu ya kufikiri tunapotambua kwamba haipatani na mapenzi ya Mungu. Katika makala hii, tutachunguza jinsi tunavyoweza kufanya hivyo.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki