Maelezo ya Chini
f Inaripotiwa kwamba muda mrefu baadaye rabi fulani alisema hivi: “Duniani kuna wanaume wasiopungua thelathini walio waadilifu kama Abrahamu. Ikiwa wako thelathini, mimi na mwana wangu ni wawili kati yao; ikiwa wako kumi, mimi na mwana wangu ni wawili kati yao; ikiwa wako watano, mimi na mwana wangu ni wawili kati yao; ikiwa wako wawili, ni mimi na mwana wangu; ikiwa yuko mmoja tu, ni mimi.”