Maelezo ya Chini
c Vitabu vya Injili vinataja zaidi ya miujiza 30 ya Yesu. Kwa kuongezea, wakati mwingine baadhi ya miujiza inajumlishwa pamoja. Pindi moja, “jiji lote” lilikuja kwa Yesu naye “akawaponya watu wengi waliokuwa na magonjwa.”—Marko 1:32-34.