Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Yehova aliita barabara ya mfano iliyotoka Babiloni kwenda Israeli kuwa “Njia ya Utakatifu.” Katika nyakati zetu, je, pia Yehova amewatayarishia watu wake njia? Ndiyo! Tangu mwaka wa 1919 W.K., mamilioni ya watu wametoka katika Babiloni Mkubwa na wameanza kutembea kwenye “Njia ya Utakatifu.” Sisi sote tunapaswa kuendelea kutembea katika barabara hiyo mpaka tufike mwisho wa safari yetu.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki