Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Tangu siku za Adamu na Hawa, Shetani ameendeleza wazo la kwamba watu wanapaswa kujiamulia wenyewe mambo yanayofaa na mambo yasiyofaa. Anataka tuwe na mtazamo kama huo kuelekea sheria za Yehova na kuelekea mwongozo wowote wa kitheokrasi tunaopokea. Makala hii itatusaidia kujilinda dhidi ya roho ya kujitegemea iliyo katika ulimwengu wa Shetani na kuimarisha azimio letu la kusimama imara upande wa Yehova.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki