Maelezo ya Chini
a Ripoti ya shirika la afya la Centers for Disease Control and Prevention la Marekani inasema kwamba madhara ya muda mfupi ya kunywa kileo kupita kiasi yanatia ndani mauaji, kujiua, kushambuliwa kingono, kutendewa kwa ukatili na mtu wa karibu, mwenendo hatari wa kingono, na mimba kuharibika.