Maelezo ya Chini
d Katika baadhi ya tamaduni, kwa kawaida ndugu ndiye anayemfuata dada ili kumwomba waanzishe uchumba. Hata hivyo, ni sawa ikiwa dada ataamua kumfuata ndugu. (Rut. 3:1-13) Kwa habari zaidi, tazama makala “Vijana Huuliza . . . Nitamwambiaje Jinsi Ninavyohisi?” katika gazeti la Amkeni! la Oktoba 22, 2004.