Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

d Mfalme Asa alitenda dhambi nzito. (2 Nya. 16:​7, 10) Hata hivyo, Biblia inasema Asa alifanya mambo yaliyo sawa machoni pa Yehova. Ingawa mwanzoni alikataa kurekebishwa, inawezekana kwamba baadaye alitubu. Kwa ujumla, sifa zake nzuri zilikuwa nyingi kuliko mambo mabaya aliyofanya. Jambo muhimu ni kwamba Asa alimwabudu tu Yehova na alijitahidi kuondoa ibada ya sanamu katika ufalme wake.—1 Fal. 15:​11-13; 2 Nya. 14:​2-5.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki