Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Waisraeli wengi ambao waliona miujiza ya Yehova katika Bahari Nyekundu walikufa kabla ya kuiona Nchi ya Ahadi. (Hes. 14:​22, 23) Yehova alisema kwamba wanaume wenye umri wa miaka 20 na zaidi wangekufa nyikani. (Hes. 14:29) Hata hivyo, Yoshua, Kalebu, na wengi kati ya wale wenye umri chini ya miaka 20, na kabila la Lawi walifaulu kuona Yehova akitimiza ahadi yake wakati taifa la Israeli lilipovuka Mto Yordani na kuingia Kanaani.—Kum. 1:​24-40.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki