Watchtower MAKTABA KWENYE MTANDAO
Watchtower
MAKTABA KWENYE MTANDAO
Kiswahili
  • BIBLIA
  • MACHAPISHO
  • MIKUTANO

Maelezo ya Chini

a Pindi fulani, malaika pia walimwakilisha Yehova walipowasilisha jumbe mbalimbali katika jina lake. Hiyo ndiyo sababu kuna sehemu katika Biblia ambazo malaika anatajwa au anarejelewa kana kwamba ni Yehova mwenyewe. (Mwa. 18:​1-33) Ingawa Maandiko yanasema kwamba Musa alipokea Sheria kutoka kwa Yehova, mistari mingine inaonyesha kwamba alipokea Sheria hiyo kupitia malaika.—Law. 27:34; Mdo. 7:​38, 53; Gal. 3:19; Ebr. 2:​2-4.

Maktaba Kwenye Mtandao (1980-2025)
Toka
Ingia
  • Kiswahili
  • Shiriki
  • Mapendezi
  • Copyright © 2025 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
  • Masharti ya Utumiaji
  • Sera ya Faragha
  • Mpangilio wa Faragha
  • JW.ORG
  • Ingia
Shiriki