Maelezo ya Chini
a Yakobo alipowabariki wanawe wanne wa kwanza, Rubeni, Simeoni, Lawi, na Yuda, alitoa baraka akianzia kwa mkubwa hadi mdogo. Hata hivyo, alipowabariki wanawe wengine wanane hakufuata mfuatano wao wa kuzaliwa.