Maelezo ya Chini
a Miaka miwili na nusu baada ya kukutana na Yesu, Nikodemo bado alikuwa mshiriki wa mahakama kuu ya Wayahudi. (Yoh. 7:45-52) Wanahistoria fulani wanafikiri kwamba Nikodemo alikuja kuwa mwanafunzi baada ya Yesu kufa.—Yoh. 19:38-40.