Maelezo ya Chini
a Utawala wa kikoloni ulipoisha katika Afrika, majina ya nchi nyingi zinazotajwa hapa yalibadilika. Rhodesia ya Kaskazini ilikuja kuwa Zambia; Rhodesia ya Kusini ikawa Zimbabwe; Tanganyika ikawa Tanzania; Urundi ikawa Burundi; Nyasaland ikawa Malawi; na Kongo ya Ubelgiji ikawa Zaire.