Maelezo ya Chini
e Filamu hiyo ilitolewa upya katika kaseti ya video mwaka wa 1995 nayo inapatikana katika Kiarabu, Kicheki, Kichina (Kikantoni na Kimandarini), Kidachi, Kidenishi, Kifaransa, Kifini, Kigiriki, Kihispania, Kiingereza, Kiitaliano, Kijapani, Kijerumani, Kikorea, Kinorwei, Kireno (cha Brazili na Ulaya), na Kiswedi.