Maelezo ya Chini
a Ripoti kuhusu simulizi la maisha la Ndugu Frank Smith ilichapishwa katika gazeti la Mnara wa Mlinzi la Agosti 1, 1995, ukurasa wa 20-24. Babake Frank, Frank W. Smith, na pia baba yake mdogo na mke wake, Gray na Olga Smith, walikuwa kati ya wahubiri wa kwanza kuhubiri Afrika Mashariki. Babake Frank aliugua malaria na kufa alipokuwa akirudi Cape Town, miezi miwili tu kabla ya Frank kuzaliwa.